Namwomboleza Profesa Ken Walibora: Jagina wa Fasihi ya Kiswahili
Mwandishi: Profesa Isaac Ipara Odeo, Makamu Mkuu wa Chuo, Chuo Kikuu cha Kibabii Prof. Ken Walibora aliyeaga dunia juma lililopita alikuwa mmoja wa majagina wa Kiswahili. Alitoa mchango mkubwa katika