Hotuba Ya Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Wakati Wa Ufunguzi Wa Tamasha La Juma La Uelekezi Wa Ajira Na Utamaduni Kwenye Ukumbi Cha Tarehe 12 Jumatano Februari 2020
Kati ya nchi zilizoshuhudia maendeleo makubwa ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiteknolojia ni zile za bara Asia zikiwemo Japani, Malaysia na Korea Kusini. Uchumi wa nchi hizi sasa hivi unatishia