Chama cha Kiswahili Kibabii (CHAKIKI) kiliwakilisha Chuo Kikuu cha Kibabii katika Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili katika vyuo vikuu vya Afrika Mashariki (CHAWAKAMA-Kenya) katika Chuo Kikuu cha Egerton Bewa Kuu-Njoro ambapo wanachama 47 walishiriki mnamo tarehe 10/11/2018