BEGIN:VCALENDAR
VERSION:2.0
METHOD:PUBLISH
CALSCALE:GREGORIAN
PRODID:-//WordPress - MECv6.5.1//EN
X-ORIGINAL-URL:https://kibu.ac.ke/
X-WR-CALNAME:Kibabii University
X-WR-CALDESC:
REFRESH-INTERVAL;VALUE=DURATION:PT1H
X-PUBLISHED-TTL:PT1H
X-MS-OLK-FORCEINSPECTOROPEN:TRUE
BEGIN:VEVENT
CLASS:PUBLIC
DTSTART;TZID=Africa/Nairobi:20240508T080000
DTEND;TZID=Africa/Nairobi:20240610T230000
DTSTAMP:20240508T123700
UID:MEC-bd7dfe342e4e4ec355cc534cb247df58@kibu.ac.ke
CREATED:20240508
LAST-MODIFIED:20240508
PRIORITY:5
TRANSP:OPAQUE
SUMMARY:Call for Abstracts/Papers for a Book to Honor Prof. Ken Walibora
DESCRIPTION:WITO WA IKISIRI/MAKALA YA KITABU KWA HESHIMA YA PROF.KEN WALIBORA\nKutokana  na mchango  mkubwa  aliotoa Profesa   Ken Walibora   katika taaluma  ya Kiswahili   na fasihi kwa ujumla,   Chuo  Kikuu   cha Kibabii   na  Chuo  Kikuu cha  Kisii   vimepanga   kuchapisha    kitabu   cha kumuenzi. Kitabu  hicho kitakuwa   na anwani:  Safari ya Kiswahili ya Ken Walibora.\nlkisiri/Makala   yanakaribishwa   katika mojawapo ya maeneo yaliyoshughulikiwa   na Profesa   Walibora, ambayo  ni:\n\nRiwaya ya Kiswahili\nHadithi Fupi ya Kiswahili\nUshairi wa Kiswahili\nOtobayografia/Bayografia\nFasihi ya Kiafrika\nLugha ya Kiswahili kwa ujumla\nKazi zilizoandikwa  kuhusu  Ken Walibora\n\nMAMBO YA KUZINGATIA  KATIKA  KUANDIKA  MAKALA\nlandikwe  kwa lugha ya Kiswahili  au Kiingereza. lwe  na maneno  kati ya 3500 – 6000.\nlpigwe  chapa katika  programu  ya word,  mtindo  wa Times  New Roman fonti ya 12\nMistari itengane  kwa kipimo  cha nafasi  ya 1.5. Makala iwe na ikisiri.\nMakala ihaririwe  vizuri.\nUrejeleaji ufanywe kwa kutumia  mtindo  wa APA Toleo  la 8.\nUkurasa wa kwanza  uoneshe  anwani  ya makala, jina la mwandishi   na anwani  yake ya barua  pepe.\nTAREHE MUHIMU\n08.05.2024    Kutolewa kwa wito wa ikisiri/makala\n10.06.2024    Makataa ya kupokea  ikisiri\n30.06.2024   Kukubalika/kutokubaika    kwa ikisiri\n30.09.2024    Makataa ya kupokea makala\n30.01.2025    Kukamilisha  uhariri  wa makala\n30.03.2025   Uchapishaji kukamilika\nAprlll 2025  Uzinduzi wa kitabu\n
URL:https://kibu.ac.ke/events/call-for-abstracts-papers-for-a-book-to-honor-prof-ken-walibora/
CATEGORIES:KIBU
END:VEVENT
END:VCALENDAR
