CHAKIKI Kwenye Kongamano la CHAWAKAMA Kenya

CHAKIKI-Kwenya-Kongamano-la-CHAWAKAMA-Kenya_1

Chama cha Kiswahili Kibabii (CHAKIKI) kiliwakilisha Chuo Kikuu cha Kibabii katika Kongamano la Kiswahili lililoandaliwa na Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili katika vyuo vikuu vya Afrika Mashariki (CHAWAKAMA-Kenya) katika Chuo […]